Hey wapendwa niko SAFARINI naelekea TANGA... Ijumaa yaani kesho - TopicsExpress



          

Hey wapendwa niko SAFARINI naelekea TANGA... Ijumaa yaani kesho my young brother ana graduat elimu yake ya NUSERY mm kama KAKA natakiwa niende nikamuandae niniii c unajua tena..... kutakuwa na sherehe shulen kwao pale GREEN VIEW then jumamosi kutakuwa na part home mida ya asubuh af jioni sherehe itafanyika pale MOUNTAIN VIEW HOTEL... hii yote ni kumuombea kheri na kumpa baraka ktk safari yake ya ELIMU kwan ndo kwanza anaanza safar hyo, mwakan mungu akipenda mdogo wngu atakuwa STD-ONE so wadau wote wa pande izo mnakaribishwa cku iyo...
Posted on: Thu, 21 Nov 2013 04:37:08 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015