Hi admin, naitwa Erick na nimeangukia demmsupa sana kutoka - TopicsExpress



          

Hi admin, naitwa Erick na nimeangukia demmsupa sana kutoka Senegal. Imagine aliniinbox tu kwa facebook na akanishow vile ameninoki then akanishow tubonge kwa mail. Mimi nikamwongeleshatu ile kimchezo na akanitumia mapicha zake. Mazee mbuyu wake alikuwaga mmoja wa European navy na akadie. Amenishow mpaka death cert na pass port za mbuyu wake na ikakuwa ako na kesi lazima lawyeralambe 2 thao dollars na dem anastay kwa camp so akanirequest na hata reverant mwenye camp huwa namcall. Mazee ilibidi nitake loan ya 200 000 na land yangu so nikamtumia. Saa hii nangoja pesa kwa account yangu. Nishaampea details mazee. Nataka kushow wasee wasiwahi give up in life coz hauwezi jua niwapi bahati yako itatokea.
Posted on: Wed, 21 Aug 2013 18:06:49 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015