→Hivi Unavyo Mkataa Mtu Akikutongoza Unategemea Kuwa - TopicsExpress



          

→Hivi Unavyo Mkataa Mtu Akikutongoza Unategemea Kuwa Hatotongoza Sehemu Nyingine Au???? →We Mwanamke Umemuacha Mwenyewe Halafu Leo Umegundua Kuwa Kuna Jamaa Flani Au Mchizi Wako Anakula Mzigo Unaanza Kuweka BEEF!!! Sielewiiiiiiiiiii!!! →Kwa Hiyo Ulidhania Kuwa Huyo Demu Ataendelea Kukaa Tu Bila Kugongwa Miaka Yote Au? Nakama Umemuacha Kwa Nini Uwe Na Wivu Nae Eti Kisa Anatembea Na Flani!!!! →Jamani Atafutae Hachoki So, Nikitoswa Na Wewe Haimaanishi Kuwa Nisitongozee Sehemu Nyingine, Kama We Ujanipenda Naweza Kupendwa Na Rafiki Yako Au Dada Ako!!! →So, Kuwa #Mpole Tu Mkimtosa Mtu Siku Ukimkuta Na Mtu Mwingine Roho Isikuume Coz Mpaka Umemtosa Inamaana Haumuitaji So....! SIPENDI WATU WANAFKI KTK MAISHA YANGU!!!
Posted on: Sat, 23 Nov 2013 08:04:11 +0000

© 2015