Hivi ndo wanaendanga Boy: Aki honey si unipush kidogo tu.... - TopicsExpress



          

Hivi ndo wanaendanga Boy: Aki honey si unipush kidogo tu.... hutafika far Dem: Sawa... but for real sifiki mbali (Mnatembea 4kms) Dem: Nataka kurudi Boy: Twende kiasi tu Dem: Nitaenda kiasi tu but sitafika kwako (Dem anaendelea kwenda) Boy: Tufike kwangu tu.. Dem: Nitafika but sitaingia.. (Baada ya kufika kwa boy mlangoni) Boy: Honey ingia tu.. Dem: Nitaingia na sitaketi Boy: Keti dakika mbili tu... Dem: Naketi lakini si saana (Stori inabamba. kanakaa 30 mins) Dem: Nimekaa sana.. sitalala huku... Boy: Lala tu dear.. Dem: Nalala but nitoka 5am...na hatufanyi Boy: Sawa.... Kesho yake dem anajiskia 12noon coz alilimwa usiku wote.. Dem: Nitasema nini nyumbani nikirudi... Aki sirudi home tena. Nitauliwa.... Nioe sasa. Heri kuolewa kuliko kuuliwa.. Na hivyo ndo wanaolewagwa
Posted on: Tue, 10 Sep 2013 15:36:22 +0000

Trending Topics



div class="sttext" style="margin-left:0px; min-height:30px;"> Bacon søger ny receptionist: Fra den 1. august i år, er der
GOGO BIG Breast Enhancement: FAST & SAFE WAY TO HAVE BIGGER,

Recently Viewed Topics




© 2015