Hujambo msikilizaji na karibu katika Amka na BBC. Tuliyowaandalia - TopicsExpress



          

Hujambo msikilizaji na karibu katika Amka na BBC. Tuliyowaandalia asubuhi hii ni; *Vikosi vya usalama vyaanza kutekeleza amri ya kutotoka nje Misri baada ya waziri Mkuu wa serikali ya Mpito kujiuzulu. *Umoja wa mataifa wasema kuwa ndege ambazo hazina rubani zitatumiwa kuwakabili waasi DRC * Wazazi nchini Burundi waitaka serikali kulikabili tatizo la uraibu wa pombe kwa watoto, watoto hupewa pombe wanapozaliwa
Posted on: Thu, 15 Aug 2013 02:18:31 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015