INGEKUWA VP? ILI KUPIGA KURA YA KUMCHAGUA RAIS UWE NA ELIMU - TopicsExpress



          

INGEKUWA VP? ILI KUPIGA KURA YA KUMCHAGUA RAIS UWE NA ELIMU KUANZIA DIPLOMA Kama bongo wangeweka sheria katika uchaguzi wa rais 2015.Mana imeonekana watu wanapiga kura tu bila kujua chochote,mambumbu,mfano vijijini mtu anaambiwa mkichagua chama flani vita itatokea,au chama fulani ndio kimejenga barabara shule nk wakati ni kod yake mwenyewe na huo ni wajibu wa srkl,mpiga kura mwingine anasema mm namtaka nyerere huyo anajua impact ya kura yake,mjini nako utasikia cna mda wa kujadili siasa,nyie mnawazungumzia akina lowasa hawawajui,wenyewe na maisha yao,nyie mnatengeneza njaa kwa kubishana wkt hamna hata 100 ya muogo,si bora ntafute hela,mi chama changu hela atayenipa hela ndo namchagu.ILI ANAYEPIGA KURA AWE ANAJUA NN ANACHOKIFANYA NA OUTCOME,IMPACT YAKE?
Posted on: Wed, 24 Jul 2013 17:50:56 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015