Idhaa ya Kiswahili ya Sauti ya Ujerumani inaripoti kuwa: Hali - TopicsExpress



          

Idhaa ya Kiswahili ya Sauti ya Ujerumani inaripoti kuwa: Hali inaendelea kuwa tete mjini Nairobi ambako wanamgambo wa al-Shabab wanabakia ndani ya jengo la duka kubwa, huku vikosi vya usalama vikilizingira jengo hilo. Taarifa za shirika la Msalaba Mwekundu zimeeleza kuwa idadi ya watu waliouawa katika mkasa huo imefika 69. Mapema leo imeripotiwa milio ya risasi na miripuko katika jengo hilo. Je, kutokana na tukio hili Kenya ijiondoe Somalia?
Posted on: Mon, 23 Sep 2013 10:58:06 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015