Imagine MPENZI wako anakupigia simu kuwa uende - TopicsExpress



          

Imagine MPENZI wako anakupigia simu kuwa uende kwake mbio.Unapanda mat unaenda kufikamlangoni akuambia kuwa leo ni birthday yako, unafurahi kwa sababu amekumbuka.Kish a anakuambia aku blind fold ndyo usione venye amerembesha sitting room.Anakupelek a mpaka kwa kochi unakaa, ghafla phone yake inalia anaji excuse kiasi kui receive. Akiwa nje, unaskia mnyambo imekukaza. Unaamua kuinua tako moja na kunyamba kale ka to to tö twaaa alafu inanuka. Then MPENZI wako anakuja anaku unfold ur eyes, unakuta watu wengi wamenyamaza wakingoja kukuimbiahappy Birthday To You....... ~kid~
Posted on: Thu, 21 Nov 2013 09:34:27 +0000

Trending Topics



9992364425927">IMAGINEM SE O DINHEIRO QUE SE PERDE EM DÍZIMOS QUE SÃO
Jag dumpar mitt CV här i förhoppning att någon ser det! :P
Spring Alison Sheri has ARRIVED! Alison Sheri is the ultimate
I am going to ask for specific prayers from you and positive

Recently Viewed Topics




© 2015