Inasadikika ni takribani week mbili sasa ziwa nyasa imekubwa na - TopicsExpress



          

Inasadikika ni takribani week mbili sasa ziwa nyasa imekubwa na tatizo la vifo vya samaki ambapo baadhi ya wavuvi huwachukua na kuwauza bila kutambua nini tatizo ingawa baadhi ya watu huamini ni kutokana na ugomvi uliopo wa malawi na tz juu ya ziwa hilo kwamba yamkini kuna sumu iliyowekwa na malawi kwa upande wetu ingawa hakuna aliyezulika ila serikali yetu kwa nn isifuatilie suala hli kwa makini na wataalamu tunao ama ndiyo ile mkubwa haambiwi toka
Posted on: Fri, 02 Aug 2013 07:45:21 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015