It all started when my mum devorced my dad. Akakuwa forced kuanza - TopicsExpress



          

It all started when my mum devorced my dad. Akakuwa forced kuanza umalaya ndio tupate chakula. Wanaume woote wa kijiji wakakuwa wanamjua mpaka ikafika place wakakuwa washaampitia wote saa wakaanza kumlenga na hapo ndipo my younger bro alikufa na malaria bila pesa za hosi. Nikawachia shule form 2 na nikakuja Nai kusaka bt singepata kazi since sina masomo na mabarua za corse so nilianza kazi kama ya mathe na for sure nikaunda pesa. Nikakuwa natumia mathe na katika zile harakati nikapata ball na nikagonjeka sana mpaka nikaanza kukonda nikarudi kwanza ocha nisipoteze macustomer. Nilienda hosi na nikapatikana niko positive. Mamangu pia akapatikana ako positive.Its now 3 yrs na mum ashaakufa last year naishi solo majirani ndio unisaidia chakula na mtoi wangu pia. Sina balanced diet so siwezi ishi sana hata nishaakonda kabisa. Naomba tu pliz mniombee hata nikifa mwenye ataadopt mtoi wangu asiwahi mtesa na agrow akimjua Mungu na hata akijua nilikuwa malaya anisamehe na apate nafasi kwa roho yake ya kunipenda, naitwa Marieta. The sins of nairobi: Lets pray, dear God we pray uone kilio cha dada yetu na ukamtimizie haja ya moyo wake hata ugonjwa alio nao tunaomba ukamsaidie na mwanawe, ili wakakukumbuke na dunia ikakuche daima, amen. kaa umeomba nasi hit like and write amen bt kaa haujali jst ignore.
Posted on: Fri, 07 Jun 2013 06:20:49 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015