It happened to me,lol,dats y nko gikosh,mmh unakumbuka ukifanya - TopicsExpress



          

It happened to me,lol,dats y nko gikosh,mmh unakumbuka ukifanya exam Math alafu: *watu wanatoa ruler but wewe huoni place ina apply *watu wanaitisha extra paper nawewe umemaliza na paper haijafika halfway. *umepewa graph paper na unarudisha kama hujaitumia *watu wanachora diagrams na pencil ,wewe hujui nini inachorwa but pia unatoa pencil ndio uache kushtuka. *mnaulizwa nani amemaliza, unaamka unajipata uko solo, unafil aibu hadi unaketi
Posted on: Fri, 12 Jul 2013 11:07:16 +0000

Trending Topics




© 2015