JE WAJUA? HII NDIYO REKODI YA MAPAMBANO YA SIMBA NA YANGA TANGU - TopicsExpress



          

JE WAJUA? HII NDIYO REKODI YA MAPAMBANO YA SIMBA NA YANGA TANGU MWAKA 1965. **MECHI 97 **YANGA IMEFUNGA MAGOLI 112 **SIMBA IMEFUNGA MAGOLI 98 MECHI AMBAYO SIMBA ILISHINDA MAGOLI MENGI NI JULAI 16, 1977 ILIPOWACHAPA YANGA 6-0. WAFUNGAJI; ABDALLAH KIBADEN (DK. 10, 42 NA 89), JUMANNE HASSAN ‘MASIMENTI’ (DK YA 60 NA 73) (SELEMANI SANGA—wa Yanga aliyejifunga dk ya 20). MECHI AMBAYO YANGA ILISHINDA MAGOLI MENGI ZAIDI NI ILE YA JUNI 1, 1968 WAKATI HUO SIMBA IKIITWA SUNDERLAND. WAFUNGAJI; MAULID DILUNGA ( DK. 18 NA 43), SALEH ZIMBWE DK. 54 NA 89) NA KITWANA MANARA (DK. 86). *****Zimebaki saa chache tupate rekodi mpya.*****
Posted on: Fri, 18 Oct 2013 16:12:04 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015