JULIETH NA ELIETH MAPACHA WA AJABU¤ Sehem 3 "Haah kumbe kweli - TopicsExpress



          

JULIETH NA ELIETH MAPACHA WA AJABU¤ Sehem 3 "Haah kumbe kweli unavituko Junior eeh i like it! Unasemaje? Nimependa ucheshi wako! Kwani vip? Amna nilisikia vibaya labda" "Kutoka na Julieth kuniteka akili yangu mno aliposema i like it! Mimi nikajua I love you!" "Basi tukaendelea pale piga stori za hapa na pale kama ujuavyo wiki ya kwanza walimu uwa awaudhuri darasani wanakua wanaanda vipindi" "Kwa hali iliyokua inaendelea bale darasani kati yangu Julieth ilionyesha kila mmoja amevutiwa na mwenzake sema kumwambia ndio ilikua jambo gumu" Nikaanza mchombeza kwa vimaneno vya mtego hey! Julieth inaelekea shem wangu anafaidi sana! Kwanini? Daah mtoto mzuri anahekima, busara shepu, mcheshi kwanini asifaidi bana! Mmmh aah wapi? Ilikua zamani sana unajua ninyi boyz amuaminiki unaweza mpenda boy alafu akakusumbua sana!" "Ni kweli Julieth iyo inatokana na jinsi gani akujua hisia zako na thamani yako moyoni mwake ! Siunajua tena dia watu wengi wanapenda machoni tu ila moyoni wana mtu wao maalumu" "Mmh maneno yako ni matamu na mazuri sana Junior ungekuta wanaume wote wanatambua hilo ungekuta akunaga kuumizwa katika mapenzi " "Kwaiyo alikusumbua mkaachana yaah! Pole usijali Julieth ipo siku utapata akayejua hitaji la moyo wako! "Unajua hata ninyi galz mnasumbua sana hasa mkijua mnapendwa na boy wako mapenzi ni kitu cha usipo yaelewa yatakuumiza sana jamani" "Ila mnasifa moja ya kipekee msichana akikupenda kapenda kweli ila ukimsaliti au msumbua moyo wake anageuka katili mkubwa sana ndani ya moyo wako" "Looh Junior! Haya mambo umeyajulia wapi wewe utafikiri doctor wa mapenzi bwana duuh unanifurahisha sana inaelekea wewe ni muelewa eeh! "Hapana nikutambua tu mambo na kuelewa kiundani siunajua tena ujana maji ya moto " "Vip! Break tayari utoki hata nje kwenda msalani nisindikize basi aaah wewe nitaendaje choo cha galz unataka nipewe spaa nini?" Jamani Junior auingi chooni wewe unabaki nje unanisubiria siunajua mimi mgeni jamani hata rafiki sina tofauti nawe basi usijali twende" "Baada yakutoka msalani duka la shule ndio wapi twende nikupeleke haa Junior naona uko na mtoto mkali ile mbaya oyaah acha ujinga bana uyu mgeni" "Nimwanafunzi mmoja alikua ananitania baada ya kuniona na Julieth " mmh kumbe Junior unajulikana sana hapa shuleni ndio! Siunajua ukiwa mpole watakujua wengi! Ha ha ha ha acha kunifurahisha wewe mpole? Kumbe jamani " Duuh Junior umetoka wapi na mgeni! Jamani nilikua na muonyesha mazingira ya shule tu guyz" "Ila mmependeza kama vile ni wa... Itaendeleaaa! Usikose sehem 4 jioni saa 12.30 "Ninani uyo aliyesema tumependeza usikose sehemu inayofuata kujua nini kiliendelea" @Chicolove jr baby@
Posted on: Fri, 21 Jun 2013 06:06:50 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015