Jamaa alikuwa ICU anapumua kwa usaidizi wa gesi ya oxygen, - TopicsExpress



          

Jamaa alikuwa ICU anapumua kwa usaidizi wa gesi ya oxygen, Mchungaji akaja kumuombea, akiwa anaomba ghafla mgonjwa akachukua PENI na KARATASI akaandika ujumbe akampa MCHUNGAJI, MCHUNGAJI akakichukua kile kikaratasi na kukiweka mfukoni kisha akaendelea na maombi makali kwa nguvu zote... Akiwa kwenye maombi ghafla MGONJWA akakata ROHO. Wakati wa Mazishi MCHUNGAJI akasema: Marehemu kabla hajakata roho aliniachia ujumbe sijausoma hadi leo, naomba niukabidhi kwa ndugu wa Marehemu, akatoa kile kikaratasi akawakabidhi... Kikasomwa: MCHUNGAJI UMEKANYAGA TUBE YA OXYGEN NAKOSA HEWA NTAKUFA..
Posted on: Fri, 28 Jun 2013 09:41:50 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015