Jamaa flani kaajiriwa kwenye kampuni,akapewa - TopicsExpress



          

Jamaa flani kaajiriwa kwenye kampuni,akapewa supervisor mwanamke....! Supervisor:"Unaitwa nani?" Jamaa:"Naitwa John.." Supervisor:"John nani? Unajua jambo ambalo nimegundua ni kuwa watu wakianza kuitana kwa majina yawakwanza mnazoeana,na kazi haitofanyika.Mimi si rafiki yako! Ni supervisor wako...kwhy nipe jinalako la pili upesi,ndilo nitakalotumia kukuita." Jamaa:"Naitwa John Mumewangu." Supervisor:"Haya bwana John endelea na kazi."
Posted on: Sun, 25 Aug 2013 10:26:29 +0000

© 2015