Jamaa flani mswahili kapita pembeni mwa nyumba ya ghorofa,ghafla - TopicsExpress



          

Jamaa flani mswahili kapita pembeni mwa nyumba ya ghorofa,ghafla akaangukiwa na condom iliyotumika. Kwa hasira akaenda kupiga hodi kwenye ile nyumba,akatoka mzee moja. JAMAA:"Nauliza nani anaishi hivyo vyumba vya juu?" MWENYE NYUMBA:"Alaah! We chizi nini, inakuhusia nini?" JAMAA:"Nauliza tena nani anaishi huko juu?" MWENYE NYUMBA:"Anaishi mwanangu na mkewe!" JAMAA:"Haya basi chukua mjukuu wako huyu....kanidondokea kichwani! (akampatia condom) 4 More swahili UPDATES, JOKES, ETC MAKE SURE UMELIKE HII PAGE=> Cafelatta Lounge
Posted on: Mon, 07 Oct 2013 19:00:00 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015