Joan ni mwanamke jiran wangu ambaye anaishi na mtoi wa siz - TopicsExpress



          

Joan ni mwanamke jiran wangu ambaye anaishi na mtoi wa siz wake. Ako na watoi watatu bt hana hazi so huwa anatesa mtoi wa siz yake. Anampeaga kazi ngumu sana kama za kwenda kuchota maji na mtungi kwa mgongo na ni mtoi wa miaka kama 9 hivi. Shule ashaawacha kumlipia na yeye ndiye alichukua mali ya mama mtoi. Most of the time anamshindishaga bila top na ni msichana mkubwa saa anakaa na skirt pekee hata kukiwa na baridi aje na boobs ziko nje. Chakula hampi ya kutosha na ni mimi nampeaga kwangu bt siku hizi anaanza kukataa kula kwangu coz anadai anachapwa sana. Infact jana amechapwa nikiona na pipe imeekwa simiti ndani akalia mpaka akaisha sauti akaenda kulilia nyuma ya nyumba akiwhisper. Hataki kuonekana na mimi coz ataumizwa na nikiuliza joan anacheka anasema anataka akufe afuate mamake. Mazee namhurumia sana huyu mtoi na nimewaambia story yake sio eti mumhurumie bt mtry kutoa solution tuone vile tunaweza msaidia.
Posted on: Wed, 26 Jun 2013 05:49:30 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015