,��.,.��, � KADI YA � �mwaliko� �,,* ;) - TopicsExpress



          

,��.,.��, � KADI YA � �mwaliko� �,,* ;) ,,� �,;,� Familia ya WIKENDI njema na SABATO NJEMA wanayo furaha kukualika kwenye sherehe ya ukumbusho wa UUMBAJI WA MUNGU ulio chukua muda wa siku 6, Sherehe itaanza siku ya IJUMAA jioni na kuisha siku ya JUMAMOSI jioni; Kiingilio ni BIBILIA, LESONI pamoja na KITABU CHA NYIMBO! Ukipata kadi hii mpatie na MWENZAKO! Hahahaaa !!! Itakua Raha Ilioje ukipaaatikana pale????........
Posted on: Fri, 08 Nov 2013 18:30:40 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015