KAMA NAOTA VILE, uhuru wa zanzibar ulikuwa 10.12.1963, mapinduzi - TopicsExpress



          

KAMA NAOTA VILE, uhuru wa zanzibar ulikuwa 10.12.1963, mapinduzi yakawa 12.1.1964, haya mapinduzi yalimpindua nani? aliefanya mapinduzi ni mganda field marshal okelo, lakin simba wa mapinduzi ni karume, ambae ni mzaliwa wa nyasaland (MALAWI), aliepokea ASP kilichoundwa na mwl nyerere! dah is very complicated aise, RAIS WA KIPINDI CHA UHURU ZANZ NI NANI? YAANI ALIEPINDULIWA! Nisaidieni tafadhali nimeshindwa kuelewa haya maswali.
Posted on: Sat, 31 Aug 2013 19:40:05 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015