KARIBU KATIKA KIPINDI CHA THE BIG BREAKFAST SHOW LEO JUMATANO - TopicsExpress



          

KARIBU KATIKA KIPINDI CHA THE BIG BREAKFAST SHOW LEO JUMATANO KUANZIA SAA 12:00 ASUBH HADI SAA 3:00 ASUBH, KUPITIA 90.6 VICTORIA FM MUSOMA MARA TANZANIA, KAMA KAWAIDA YETU MAMBO NI MENGI KUPITA MAELEZO, UTASIKIA MATUKIO MAKUBWA YA KIHISTORIA KATIKA TAREHE HUSIKA , HABARI KUU ZA SIKU, HABARI ZA MICHEZO, UDONDOZI WA MAGAZETI NA MAMBO MENGI NEYO AMBAPO KATIKA MEZANI PAMOJA LEO TUTAKUWA NA WACHEZAJI WA BASKETBALL MKOANI MARA. KARIBUNIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII
Posted on: Wed, 06 Nov 2013 02:55:48 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015