KUSEMA NA KUTENDA Ahadi walioitoa UhuRuto ya ksh.6B zimeachiliwa kwa vijana na kina mama. Rais Uhuru na naibu wake Ruto wameuzindua mradi huo katika mji kuu wa Jamuhuri ya Kenya. Mradi huu utatandazwa kwenye maeneo bunge yote nchini. Mikopo itatolewa kupitia vikunda vya vijana na kina mama vilivyosajiliwa kihalali. Vikundi vitakopeshwa hadi ksh.nusu milioni. Unganeni na msajili vikundi vyenu mpate hela hizi mjiendeleze.
Posted on: Sun, 08 Sep 2013 13:41:43 +0000