KWA BWANA RAIS. Bwana rais wakenya wana maswali na - TopicsExpress



          

KWA BWANA RAIS. Bwana rais wakenya wana maswali na vitendawili inayohitaji itekuliwe na naamini yangu ni tofauti na zao. mheshimiwa zote twafahamu fika kwamba wanajeshi wetu wanatajika barani baada ya Uhabeshi, walienda sieraleone wakatuliza hali, wakaenda eritrea vilevile, wameenda somalia amani imerejea ingawaje sio tabithi. Ipo haja gani kutafutia wengine amani ilhali cc wenyewe hatuna amani? 1998 wakenya wasio na hatia walipoteza maisha zao mikononi mwa magaidi- giza na maana - amerika waliua watu wao (alqaeda) ,2013 #westgate#, giza na maana _ati KDF waliua watu wao (alshabaab) . Maafa mikononi mwa magaidi itaisha lini? OMBI LANGU NI HILI _____________________ Kwa niaba ya maisha yangu na wengine tafadhali rejesha nyumbani KDF kama hivo ndo alshabaab wanataka, na ujenge kampi ya wanajeshi Mandera, wanasema "the best way to defend is to attack" na tumekabiliana vilivyo, lakini usisahau "miaka ya muoga ni mingi" , hatuko waoga bali ni kwa usalama wetu,n refugees 2 go back to camp
Posted on: Fri, 27 Sep 2013 12:04:41 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015