Kama kuchana nachana sana,toka dada aqo ajaitwa mama,tena mkali wa bato niloshinda mwaka jana,wala ctegemei mechi za mpira,kama chama love wa bacelona,ili nijulikane sana,boya kaa mbali na mm nicje nikakuchoma,naranda wall 2 wall kama,jenes anae jiita bonge la bwana,harakati nimeanza zamani tokea nipo skonga,ubishi nnao zamani mpaka nikatoroka jela,niko peac na kila kiumbe ata kama,kazaliwa jana,Gwara kwa Jastin mwaluko jr,ata kama a2jawai kuonana,na wale masela wa ukweli mko wengi cwezi taja majina.#Via ndo kumekucha umu yaani.
Posted on: Sat, 27 Jul 2013 18:26:42 +0000