Kama ningejua Dr. JAKAYA KIKWETE anatumia mvinyo gani - TopicsExpress



          

Kama ningejua Dr. JAKAYA KIKWETE anatumia mvinyo gani ningemnunulia, EAC kwangu kichefuchefu, wanataka ardhi yetu, rasilimali na hata uraia (kwani wakioa / kuolewa si watapata ) wale mapacha 3 tamaa yao dhahiri inaonekana, Mwl. Nyerere aliwasaidia Msumbiji, Namibia, South Africa kuwaondoa wakoloni etc, fadhira ipi wamewahi kulipa!? zaidi ndugu zetu walipigwa kipindi fulani kule bondeni ili waondoke!
Posted on: Fri, 08 Nov 2013 05:13:37 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015