Katika shamba la ngano kuna magugu pia je wewe ni ngano au magugu? - TopicsExpress



          

Katika shamba la ngano kuna magugu pia je wewe ni ngano au magugu? Waitwao ni wengi bali wateule wachache je! Wewe ni yupi kati ya waitwao na wateule?.mvumilvu hula mbivu,mwenda pole ajikwai, songa mbele na BWANA YESU maana ni vibaya na hasara kubwa sana kama tulianza na BWANA na sasa tunataka kumaliza na shetani. Ndugu MUNGU atuwezeshe sisi sote tuwe wateule wa kuurithi ufalme wake. MUNGU akubariki na kukuwezesha kushinda yote ya dunia.
Posted on: Mon, 22 Jul 2013 17:15:00 +0000

Trending Topics



Awesome Earbuds! Only $8.00 each or 2 for $13.00 Teal or Black
Catch the Little Foxes TODAY’S SCRIPTURE “Catch for us the
Its pretty sad around our house today.. We said goodby to our

Recently Viewed Topics




© 2015