Katika ushauri wa bure leo Alhamisi October 10:Mara nyingi - TopicsExpress



          

Katika ushauri wa bure leo Alhamisi October 10:Mara nyingi kumekuwa na malalamiko kwa maboss sehemu za kazi kuwa wanoomba rushwa ya ngono pindi anapotokea kijana/binti amepeleka maombi ..hali hii sasa imeabadilika vijana na mabinti wanaotafuta kazi wenyewe ndio wamekuwa wakijirahisisha kwa maboss na kuwa tayari kumshawishi boss kwa rushwa ya ngono ili apewe kazi, utakuta kama ni binti anaenda na mavazi ya mitego,anajilegeza wakati wa kuzungumza n.k, Tuzungumzie hili kwa pamoja na kutoa ushauri wa bure #NyumbaniNiNyumbani. tunein/radio/Times-fm-1005-s153321
Posted on: Thu, 10 Oct 2013 05:57:24 +0000

© 2015