Kauli ipi ya kiongozi ni noma toka 2000-2013 1.kuleni nyasi, ndege - TopicsExpress



          

Kauli ipi ya kiongozi ni noma toka 2000-2013 1.kuleni nyasi, ndege ya rais lasma inunuliwe(MRAMBA) 2.Acheni wivu wa kike(MSEKWA) 3.Folleni dar ni ishara ya maisha bora(J.K) 4.Asiyeweza kulipa nauli apige mbizi(MAGUFULI) 5.Baada ya kutumia helikopta ya jeshi kwenda nayo Urambo "mlitaka nipande punda"(KAPUYA) 6.Wabunge wa dar wanafikiria kwa kutumia maka......oo(MASABURI) 7.Ukitaka kula lazima uliwe(J.K) 8.Mnaniuliza mvua kwani mimi waziri wa mvua
Posted on: Tue, 24 Sep 2013 00:15:08 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015