King love story (shm ya - TopicsExpress



          

King love story (shm ya 6) ................................................... Tulivyo kutana maeneo yetu haikuwa sehem kubwa ya kutisha ilikuwa sehem ya kawaida ya kunywa juic na keki nikafika tukaagiza vinywaji pale mara mtoto wa kike akaanza kuongea maneno yake bick unajua mimi cpendi mwanaume anaejiskia na asie makini na asiejielewa mpaka nimekupenda wewe bick ujue nimeona unaniitaji kweli sasa na mimi najitoa kwa ajili yako naomba usinitende bick nakupenda sn mtoto wa kiume nilie kaa na babu na kufundishwa nini maana ya mwanamke nikainua mikono na kuigusanisha na mikono yake na kuanza kumwambia maneno yaliomfanya aniamini nikaanza kumwambia Eva siwezi kukwambia lolote zaidi ya subili vitendo toka kwangu mimi ni mvulana ninaejielewa na kujua nini maana ya kupenda na ndomaana nikakutamkia neno nakupenda sitarajii maumivu kutoka kwenye penzi lako mtoto wa kike alijibu sawa bick akasema napenda unavyoendaga mazoezini unapendeza kweli nikamwambia usijali eva huwa napenda kufanya ninachokipenda akache na kusema ushaanza masiara yako nikamwambia ucjali kisha nikainuka na kumpa mikono yangu nae akainuka nikamwambia eva twende mda umefika akasema bick kweli unanipenda nikamwambia sana tu sasa mda ambao tunaludi nyumbani baba yake yule dem alikuwa ayupo na tunasikia kaludi daaa ilikuwa msala sn nikamuuliza utafanyeje sasa akasema ataingia ivyo ivyo atajua umo umo nikawa nje nasubili kusikia kitu gani kitatokea mara nasikia Eva umetoka wapiiii....usikose ....Kiswakingi....
Posted on: Sun, 20 Oct 2013 16:36:16 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015