Kipi kati ya hivi viwili kinauma zaidi? 1. Uko kwenye mtihani: - TopicsExpress



          

Kipi kati ya hivi viwili kinauma zaidi? 1. Uko kwenye mtihani: maswali yamekugonga unaamua kuazima karatasi ya majibu ili ukopi. Muda wa mtihani unakwisha na Wakati mnaenda kukusanya karatasi za majibu unairudisha karatasi kwa jamaa na jamaa anakwambia hiyo ichane tu kwani majibu aliyoandika siyo yenyewe. 2. Umeishi na mkeo miaka 25: mmezaa mtoto mmoja tu wa kiume na ukamsomesha hadi chuo na kumrithisha mali zako zote. Siku moja mkeo anaamua kukueleza ukweli kuwa mtoto huyo si wako bali wa rafiki yako
Posted on: Mon, 21 Oct 2013 09:33:59 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015