Kulingana na mtazamo wangu Tanzania ni nchi yenye sherehe nyingi - TopicsExpress



          

Kulingana na mtazamo wangu Tanzania ni nchi yenye sherehe nyingi za kitaifa.........kutokana na Tz kuwa na sherehe nyingi inapelekea mpaka kuonekana taifa maskin.........Sababu wafanyakazi wengi wa serikali kua na likizo ndefu siku za shererhe na nakzi nyingi za selikali kusimama......JE! Mtanzania mwenzangu kuna ukweli juu ya hilo naomba tushilikiane kujadili ilo.......weka coment yko au like......lakin kumbuka ni mtazamo tu uwo nkiwa kama mtanzania mwenye love na nchi yangu.
Posted on: Fri, 09 Aug 2013 10:15:01 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015