Kumbee Ndio Maana Eeeeh..! Huu ndiyo Ukweli.. hata kama - TopicsExpress



          

Kumbee Ndio Maana Eeeeh..! Huu ndiyo Ukweli.. hata kama Hutaki Asilimia zaidi 43 ya wapenzi wanaokutana kwa njia ya mtandao mfano facebook hufanya mapenzi siku ya kwanza wanapokutana ana kwa ana. HII ni kwa sababu moja tu, katika kuchat kwao mara kwa mara huchati kuhusu mapenzi, ngono na kadhalika. Hivyo kujijengea mazingira ya matamanio, hivyo siku ya kukutana zaidi ya kuonana ana kwa ana kifuatacho ni ngono….. Mwisho Wa Kunukuu...!
Posted on: Fri, 29 Nov 2013 19:01:59 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015