Kuna Dada M1 alichumbiwa na wanaume wa4:- - TopicsExpress



          

Kuna Dada M1 alichumbiwa na wanaume wa4:- 1.Msanii 2. Mvuvi 3. Mwindaji 4. Doctor Siku 1 Dada huyo alienda mton kufua ghafla akatokea mamba akamchukua akazama nae majin,palepale msanii aka2nga wimbo akaanza kumwimbia mamba akatokeza kichwa,palepale mwindaji akampiga risasi mamba akafa na dada alibaki Akitapatapa Ndan ya maji,palepale mvuvi akaogelea kwenda kumuokoa akamleta nchi kavu,palepale doctor akamtibu majeraha mpaka akapona.*Swali linakuja je ni nani anafaa KUMUOA kati ya wa2 hao wanne?2ma jibu lako naitaji maoni yako.
Posted on: Fri, 21 Jun 2013 20:47:10 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015