Kuna hizi matatu inaitwa #Kitwek_sacco. Walahi inavituko mambo - TopicsExpress



          

Kuna hizi matatu inaitwa #Kitwek_sacco. Walahi inavituko mambo juzi, nimepanda kadhaa na hizi ufala ndio nimeshuhudia 1.Imejaa coakroaches zingine walahi zimepiga gym ya kutosha, kidogo umekaa kwa mat, mr. Solopjot jamaa anatokea kukugotea na c tafadhali, ukikaa na mrembo hapo walahi unaeza shuka next stage, hehe 2. Wamechukua 20ltrs na kurarua chini na kufix speaker ya redio, hehe alafu wameweka ngoma zingine walahi hazinanga bass ata. Kuharibu maskio nayo? 3.kuna vibuyu ya maziwa chini ya viketi walahi, inatoa harufu nyingine inaudhi sana, ukiwa mgeni utadhani gari iko na sewage 4. Maconductor walahi hawaogi, hehe makwapa zinanuka kama magoti ya papa shirandula, alafu jamaa kazi yake anakuitisha fair ka amesnap finger ni kama anaita dogi, hehe lolz 5. Dere anaendesha gari lakini meno yote iko nje, hehe walahi izo meno zinaonanga ama 6.zote zina picha za Ruto hapo mbele, kwani ruto ndio dere nugu izi? Nani hamjui? Si muabudu yeye basi nkt nkter nktiest tafadhali izi ma3 zitolewe kwa psv zina2chomea pcha asap
Posted on: Thu, 18 Jul 2013 09:56:53 +0000

Trending Topics



http://www.topicsexpress.com/Wedding-Favors-Yellow-Floral-Heart-Design-Personalized-Large-Lip-topic-153535688188109">Wedding Favors Yellow Floral Heart Design Personalized Large Lip

Recently Viewed Topics




© 2015