Kuna matukio menginehapa duniani yanasababisha mtu kujiuliza hivi - TopicsExpress



          

Kuna matukio menginehapa duniani yanasababisha mtu kujiuliza hivi dunia inakwenda wapi. kuna taarifa za nchini Tanzania watu kadhaa kukamatwa na kiganja cha mtu, wakikipeleka kukiuza kama bidhaa, wakati huo huo nchini Burundi umekamatwa mzogo kwenye uwanja wa ndege ukiwemo fuvu 2 za watu, ambazo kwa mujibu wa viongozi wa huko wanasema zilikuwa zinasafirishwa kuelekea nchini Tahilande. Hivi kweli huu ushirikina unatupeleka wapi??? ehhhhhh??? inatisha. Eti Octoba 31 siku ya kuabudu mashetani kweli???
Posted on: Thu, 31 Oct 2013 20:16:48 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015