Kutojua kilichopo moyoni mwa mtu noma! Yesu alikuwa na wanafunzi - TopicsExpress



          

Kutojua kilichopo moyoni mwa mtu noma! Yesu alikuwa na wanafunzi wake! Njiani wakamwambia Bwana tuna njaa! Yesu akawaambia okoteni mawe! Alipofika mbele akayageuza mkate wakala lakini Yuda alikuwa ameokota kijiwe kidogo hivyo hakushiba! Kesho yake wakamwambia tena Bwana tuna njaa! Akawaambia okoteni mawe basi Yuda akabeba Bonge la Jiwe! Walipofika mbele Yesu akawaambia yatupeni Baharini leo tunafunga! Yuda akasema kimoyomoyo kudadeki sasa si angesema mapema!! usiku mwema wapendwa...
Posted on: Thu, 20 Jun 2013 16:50:46 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015