Kuvunjika kwa muungano wa Tanzania itakuwa ni matokeo ya jitihada - TopicsExpress



          

Kuvunjika kwa muungano wa Tanzania itakuwa ni matokeo ya jitihada za watanzania wenyewe kuuvunja. Maana hata watu ambao hawajui kwa nini kuna muungano wanataka uvunjike, lkini pia hata wale wachache wanaojua hasara na faida zake wanajikaza kutumia ujinga wa watanzania kuhakikisha unavnjika. Hongereni watanzania kwa kutochukua muda kufikiria na badala yake mnachukulia mambo kiulaiini. Lakini ni vizuri tu kwa kuwa taifa ili liko community oriented. Ta Amani
Posted on: Fri, 23 Aug 2013 16:17:24 +0000

Recently Viewed Topics




© 2015