Kwa mfano... #We_rafiki Umekaa na jamaa yako mnapiga stori - TopicsExpress



          

Kwa mfano... #We_rafiki Umekaa na jamaa yako mnapiga stori mbl tatu,mara ukamuuliza kama ameshawahi tembea na mke wa mtu,jamaa akakujibu kua hajawahi...ukamuuliza utafanyaje endapo ukisikia mtu anatembea na mkeo?jamaa akabadili sura gafla na kusema yaani naua hapo hapo....Kusikia hvyo ukaishiwa pozi,jamaa akakuuliza kulikoni?nawe kwa wasi wasi,ukamjibu..mke wa jamaa anakutaka kwani ameishakuambia mara kibao sema we ndo hutaki cz mnaheshimiana na umeishamkanya ila hataki kusikia anakutega sana kila mkionana...Je ww kama ndo mwenye mke utachukua hatua gani?
Posted on: Fri, 22 Nov 2013 09:12:00 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015