Kwanza kabisa nItakua mchoyo wa shukrani Kama sitokushukuru wewe - TopicsExpress



          

Kwanza kabisa nItakua mchoyo wa shukrani Kama sitokushukuru wewe Mkazi wa Moshi ambaye Jana Tulikua wote pale mr price kwenye fursa na baadae Majengo kwenye fiesta, kiukweli upendo mliouonyesha kwa clouds ni mkubwa mno!! Shukrani sana kwenu acheni tuendelee kuwafanyisha Kazi Nzuri Zaidi!!! Ndugu yenu nimeshatua dar tayari kwa njiapanda ya Leo na Leo tuko na mlinzi aw shule ya boarding na mlezi tunataka tuzungumze na wazazi juu ya mbinu za watoto kwenye utumiaji aw madawa ya kulevya, ulevi Na Tabia nyingine zisizokubaliwa mashuleni!! Karibuni tuongee....
Posted on: Sun, 06 Oct 2013 10:50:20 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015