“Kweli nawaambieni,kila kitu mlichomtendea mmojawapo wa hawa - TopicsExpress



          

“Kweli nawaambieni,kila kitu mlichomtendea mmojawapo wa hawa ndugu zangu wadogo,mlinitendea mimi”…..Hujambo ndugu yangu.Ni siku ya nne katika mwezi huu wa saba. Karibia kwenye “Chariot” ya Tafrija za heri njema Alhamisi ya leo, usafiri pamoja nami Mama Controller . KIITIKIO cha Zaburi yetu:Nitaenenda mbele za Bwana katika nchi za walio hai. Somo la Injili MATHAYO 25:31-46 Sema na Mc Judy ,unataka kuchangamka na wimbo upi?unachangamsha akina nani? Na je,wimbo upi unapendekeza kuwa katika orodha ya 21 zilizovuma hapo kesho?
Posted on: Thu, 04 Jul 2013 07:59:25 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015