Kwenye "Showtime New Chapter" ya R.F.A jumatano ya leo...utaskia - TopicsExpress



          

Kwenye "Showtime New Chapter" ya R.F.A jumatano ya leo...utaskia kuhusu series ambayo mtu mzima 50 CENT ametajwa kuhusika kama mtayarishaji mkuu msaidizi...na sababu za AY kuwa msanii pekee East AFRICA kutajwa kuwa exposed zaidi internationally...JITA MAN yuko hapa kwa ajili kukutambulisha ujio wake mpya..ikiwa ni pamoja na track kibao mpya...kuanzia 8:00 - 10:00 jioni...session mbili za DJ zinagawanywa kwa mikono ya DJ JEFF JERRY & DJ JOHN huku microphone zikijuta kwa punch za BIZZO & KICHAKA...Per Mo Coe..!!
Posted on: Wed, 19 Jun 2013 10:55:22 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015