Leo Amka na BBC inakujia moja kwa moja kutoka eneo la Westgate - TopicsExpress



          

Leo Amka na BBC inakujia moja kwa moja kutoka eneo la Westgate jijini Nairobi. Ni mwezi mmoja leo tangu kutokea shambulio la kigaidi katika jengo hili la kibiashara lililosababisha vifo vya watu zaidi ya sitini. Karibu jina langu ni Maryam Dodo Abdalla na miongoni utakayoyasikia ni: Usalama unaanza na mwananchi mwenyewe kwanza Rais Uhuru Kenyatta nchini Kenya asema usalama unaanza na mwananchi mwenyewe kwanza. Na tunakuuliza Je wakati umefika kwa Kenya kufuata mfano wa Tanzania kutumia mfumo wa Kumi Kumi? Tunaangazia pia jinsi vijana wanavyohadaiwa na kusajiliwa pasi kujuwa katika makundi yenye itikadi za kidini katika pwani ya Kenya. Yote yanakujia kupitia redio washirika na kupitia intaneti bbcswahili
Posted on: Mon, 21 Oct 2013 01:04:13 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015