Leo hii katika Dira ya Dunia, mbali na mengine: Wapigambizi - TopicsExpress



          

Leo hii katika Dira ya Dunia, mbali na mengine: Wapigambizi wanaendelea na juhudi za kutoa maiti au kutafuta walionusurika kufuatia ajali ya mashua jana. Mashua hiyo iliyokua imebeba watu takriban mia tano ilizama karibu na kisiwa cha Lampedusa na mpaka sasa watu mia na khamsini na wawili ndio wameokolewa. Wote walikua wakijaribu kuingia ulaya. Je nini ambacho utakifanya hadi ufike ulaya? Tazama Dira ya Dunia TV -kupitia Star TV TZ, QTV Kenya na Raga TV, DRC. Tweets @Kayira2000
Posted on: Fri, 04 Oct 2013 16:00:35 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015