Leo jioni jioni nikiwa kwa matt nimeona dem amebeba..Manze - TopicsExpress



          

Leo jioni jioni nikiwa kwa matt nimeona dem amebeba..Manze ako na nyonyo kubwa...Nikaketi karibu na yeye..After kumtongoza nikamsho anipe namba...akanisho nimpee phone yangu ataniandikia...Nikatoa tecno yangu mpya nikampa na akaiandika sikumwitisha phone hapo hapo....Tym nilikuwa nashuka ndio nilimsho leta phone yangu sasa nishuke...Akaniuliza phone gani? manze alafu akaanza kusema ati nadai kumwibia usitake jua vile nimetolewa kwa hio matt....Na mateke na mangumi...Nkt kwani nilikosea nani??!!!! Natafuta mchawi sai
Posted on: Thu, 07 Nov 2013 18:23:43 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015