Leo mpo serios kwelikweli wanangu wa facebook! hebu tucheke - TopicsExpress



          

Leo mpo serios kwelikweli wanangu wa facebook! hebu tucheke basikidogo,,,, Jamaa karuhusiwa toka hospital ya vichaa, akapandishwa kwenye ambulance mpaka karibu na kwake. akaulizwa unapakumbuka kwako? akajibu ndio nyumba yangu ileee, mara wakatoka watoto wa wili katika ileile nyumba wamevaa uniform, akasema wanangu walee wanaenda shule, akatoka mwanamke, akasema mke wangu yulee, ghafla akatoka mwanume amevaa suti akasema na mimi yulee naenda kazini. SIKU NJEMA
Posted on: Wed, 19 Jun 2013 07:37:02 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015