Leo ni siku ya mjadala ambapo tunajadili kuhusu usajili wa - TopicsExpress



          

Leo ni siku ya mjadala ambapo tunajadili kuhusu usajili wa wachezaji barani Ulaya na namna biashara ya mpira wa miguu ilivyo na thamani. Kuitazama ligi kuu nchini Uingereza na Usajili wa wachezaji barani Ulaya, na je ni ipi nafasi ya wachezaji wa kiafrika katika usajili? Ungana nami https://twitter/VanMohamedi nikiwa na Ali Mayayi mchezaji wa zamani na nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania Taifa stars, Edo Kumwembe na Francis Teng`o katika kujadili suala hili. Karibu katika Dira ya Dunia.
Posted on: Wed, 04 Sep 2013 15:19:27 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015