Leo nimegundua uongozi wa clouds na baadhi ya watangazaji wake pia - TopicsExpress



          

Leo nimegundua uongozi wa clouds na baadhi ya watangazaji wake pia maf.........Kwanini nasema hivyo?Leo nilikuwa nasikiliza kipindi cha XXL nikamckia Baba Jonii anatangaza wasanii wa Tanzania ambao wamechaguliwa kugombania Tunzo za NZUMARI AWARDS 2013 nchini KENYA.Wasanii waliochaguliwa kushiriki ni watano kutoka Tanzania ambao wataitangaza nchi yetu cha kushangaza wamewataja wanne kwa majina yao na kumuacha mmoja bila kumtangaza wakati ni mshiriki kutoka Tanzania na anawakirisha nchi yetu ya Tanzania huu c upimbi kuleta ubaguzi.Wasanii hao watano ni Diamond,Ney wa Mitego,Lady Jaydee,Mavoko na Mzee wa Tupogo Ommy Dimpoz.Chakushangaza mwakirishi wa kitanzania Anakonda,Komando herself Lady Jaydee hawakumtaja.Huu c umbwiga.Clouds and some presenters like baba Jonii(ADPlus) ni pimbi.
Posted on: Fri, 18 Oct 2013 17:37:43 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015