Letter To The President - Brian Ngartia Sitaki nistruggle left - TopicsExpress



          

Letter To The President - Brian Ngartia Sitaki nistruggle left with no choice, Nothing but a pen some paper and a voice, I moved forward, I followed the precedent. And so I also wrote a letter to the president. Hii ni barua ya kuaccompany ya Jemedari, Niliskia we huwa busy so kwa point nitahurry, Usinidismiss kama just another Oti, Mwass ama Bakari. Najua uko poa so sitakuuliza habari, Na hata Sijui ni nini inaeza kua inakuworry. Si security, una mabodyguard hukimbia kando ya gari, Si njaa, menu yako si ina food type kuliko ngiri? Local food to foreign, ukitaka unaeza chinjiwa tumbiri Na ukichoshwa na za state house kweli, Ushaikuhit kuna wakidi hudunda exam Na si msoto, Mr. President, si we hulipwa na mamilli? Unajua shida imefanya watu wauze parts za mwili?! Hajuangi atakula nini ikifika siku ya pili For a few hours mashida ziwatoke kwa akili. Suicide ju ya desperation si movie ni ukweli. But we unaeza kua unajua hizi vitu kweli? Kwako comfort si shida, una air conditioner kwa gari Medical checkups mob ukiulizwa how you are feeling, Heater kila room labda ulisahau July huwa chilly, Thermostat kwa wall labda hottest thing kwako ni chili So manze, relax keti hapo, si huiita chilling hapo kwa desk, leather couch ama ile kiti ya pili, Are you aware of these things really? Police killings, murders, na madrug dealings. IDPs wanaishi kwa turoom hatuna hata ceilings, Na MaMP wanaroll kwa mamilli bila feelings Excuse me, ntabonga na wewe Mr. President. Mamode, Madoke wanastrike for more pay, Na funds zinaget wasted every day, Na hizi vitu huhappen as you get your way, Excuse me, nabonga na wewe Mr. President. Nimeattach copy kwa e-mail, hii mail utaipata ata ka uko safari, Labda umefly out matibabu, gotea hao madaktari, Washow wenzao huku walidemo mpaka wakasare. Skuizi kwa roadi prezzo, makarao hawadai chai, Wanaodai wine prezzo, na ukikosa kuwawahi, Unafiniwa dough most kuliko zenye ulibuy ndai. Kila mwaka, Mr. President, kuna floods Budalangi, Na drought Turkana, Mr. President, Kwani hatulaningi? Tuna IDPs wa Kutoka ’92 mpaka ’08 kwa kambi wamesahaulika, Na Katiba mpya mnaikatakata venye mnataka. Soon tunawakujia full blown full blown war acha nifunze watu wangu Hakka! Lesson 1: Walearn kubonga bila kutetemeka, Siku za oppressors ni counted, hawana life za paka Lesson 2: kureclaim land imeibiwa toka enzi ya Kenyatta, Kenya ni kubwa hakufai kuwa na squatter, Lesson 3, tunanoa mapanga, leader anakam kutuchocha Incitement imetuchosha, clashes bye bye hatutazihata! Tumechoka kuwa treated ka makuku na mabata Police killings, murders, na madrug dealings. IDPs wanaishi kwa turoom hatuna hata ceilings, Na MaMP wanaroll kwa mamilli bila feelings Excuse me, ntabonga na wewe Mr. President. Mamode, Madoke wanastrike for more pay, Na funds zinaget wasted every day, Na hizi vitu huhappen as you get your way, Excuse me, nabonga na wewe Mr. President. Super highway poa, Mr. President, but na za mashinani? Tunatry ways poa za kulima but zitatoka aje shambani? Na polisi wameperfect kuangushana toka enzi za Kiriamiti, Mr. President, ummeskia murder imesolvia lately? Naogopa Kutoka usiku naeza pata bullet kwa chest. Naogopa Kutoka Mchana, Al Shabaab east, maaccident west. Mr. President, ushaijiuliza million ngapi we huwaste, Ukidrive through town, wangapi we huinconvenience. Nilifunzwa air is the safest and fastest means, But do you really know what economizing means? Sip Maji yako treated cholera haitakutoa life Then Prezzo, nishow, umewatch Nairobi Half Life? Bila majob unaexpect aje Nairobi tuhave life? Mnaexpect na hii crime Nairobi tusurvive Makarao na wagondi wakipeana hi fives? Na maM.P wako wakidai kuwa bonused, Na hii kukonda tutawai acha kuwa bone assed? Mr. President, I look at your government, know what I see? Leaders with hearts as cold as I.C.E Brian Ngatia
Posted on: Thu, 04 Jul 2013 09:25:53 +0000

Recently Viewed Topics




© 2015