MADA YANGU ILIYOPITA YAKOSA MAJIBU Ilihoji: Tanataka Mikataba - TopicsExpress



          

MADA YANGU ILIYOPITA YAKOSA MAJIBU Ilihoji: Tanataka Mikataba yote iwe wazi ijadiliwe na wananchi kwa mfano wa nchi ipi? - Sijapata Jibu. Niliomba: Ntajiwe nchi ambazo Miakata Inajadiliwa na wananchi - Sijapata Jibu Niliomba: Nitajiwe nchi ambayo Bunge ndio linajadili mikataba - Sijapata jibu Niliomba: Nionyeshwe mkataba angalau mmoja uliojadiliwa na wananchi kutoka nchi inayofanya hivyo - Sijapata jibu. Niliomba Kujua: usiri wa kibiashara utazingatiwaje - Sijapata jibu Miliuliza: Itakuwaje wakati wananchi wanajadili na wakapishana si itabidi kuwa na kura za maoni .. itafanyika vipi hapo -- sijapata majibu Wadau wachache waliojitokeza kujaribu kujibu walikuja na maelezo tu na kimsingi walikwenda nje ya mada. Nilipendekeza: Tutafute njia nzuri ili tunaowaamini watuwakilishe kwenye mikataba wasitusaliti .. Wachache walikuja na mapendekezo yenye hekima. HITIMISHO: Wanasiasa na Wanaharakati tuache tabia ya kupiga kelele kwa mambo ambayo hatujayafanyia utafiti.
Posted on: Sat, 26 Oct 2013 06:53:42 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015