MALIPO YANGU" SEHEMU YA 6.Yalikuwa ni maumivu makali sana ambayo - TopicsExpress



          

MALIPO YANGU" SEHEMU YA 6.Yalikuwa ni maumivu makali sana ambayo Noreen alikuwa anayasikia.John hakuchoka alifanya hivo kwa kipindi kirefu sana mpaka saa sita uck.Noreen alipoteza fahamu kutokana na kile alichokuwa anafanyiwa.Kesho yake alitakiwa akafanye mtihani lakini ndo hivo hajasoma na ameshabakwa vibaya sana.Alikuja kuzinduka saa kumi usiku akakuta mwili wake wote umelowa damu.Noreen alilia sana lakini John hakuwa na chembe ya huruma akaanza kumpiga mateke,makofi na alimpiga pia kwa kutumia ile bastola kwa madai kwamba anampigia kelele.John alichukua simu ya Noreen akaizima akamfungia Noreen ndani na yeye akaenda kutembea mtaani.Rey akashangaa kuona Noreen haji kwenye chumba cha mtihani mana mtihani ulikuwa unakaribia kuanza.Lakini mpaka mtihani ulimalizika Noreen alikuwa bado hajaonekana.Rey aliingiwa na wasiwasi sana juu ya rafiki yake.John alirudi kutoka mtaani amebeba chips akampa Noreen ili ale.Noreen aligoma kula lakn John akasema kama huli nakufanya kama jana.Akaanza kuvua suruali yake.ITAENDELEA
Posted on: Fri, 04 Oct 2013 07:19:03 +0000

Trending Topics




© 2015