MATAMSHI NA MAANDISHI BORA YA MAJINA YA NCHI DUNIANI BAADHI ya - TopicsExpress



          

MATAMSHI NA MAANDISHI BORA YA MAJINA YA NCHI DUNIANI BAADHI ya waandishi na watangazaji wa Kiswahili wanakosea aidha kuandika sawasawa au kutamka vyema majina ya nchi fulani fulani duniani. Kipande hiki kimedhamiria kukupa mwongozo wa kujisahihisha siku zijazo: NCHI 51-100 51. Clipperton Island- Kisiwa cha Klipatoni 52. Cocos (Keeling) Islands- Kisiwa cha Kokosi au Kilingi 53. Colombia- Kolombia 54. Comoros - Ungazija 55. Congo, Democratic Republic of the Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (JKK) 56. Congo, Republic of the- Jamhuri ya Kongo 57. Cook Islands- Visiwa vya Kuki 58. Coral Sea Islands - Visiwa vya vya Bahari Marijani 59. Costa Rica - Kosta Rika 60. Cote dIvoire - Kote Diivwaa (Ivory Coast) 61. Croatia- Kroashia 62. Cuba - Kuba 63. Cyprus- Saiprasi 64. Czech Republic- Jamhuri ya Zeki. 65. Denmark - Denimaki 66. Dhekelia- Zekelia 67. Djibouti- Jibuti 68. Dominica Dominika 69. Dominican Republic Jamhuri ya Dominika 70. Ecuador Ikweda 71. Egypt - Misri 72. El Salvador- Eli Salvado 73. Equatorial Guinea - Jine ya Ikweta 74. Eritrea - Eritrea 75. Estonia- Estonia 76. Ethiopia- Uhabeshi, Etjiopia 77. Europa Island - Visiwa vya Uropa1 78. Falkland Islands (Islas Malvinas)- Visiwa vya Malvinasi 79. Faroe Islands Visiwa vya Faroo 80. Fiji - Fiji 81. Finland - Finlandi 82. France - Ufaransa 83. French Guiana - Jine ya Ufaransa 84. French Polynesia Ufaransa Polnyesia 85. French Southern and Antarctic Lands Ufaransa Antaktika 8. 6Gabon - Gaboni 87. Gambia, The - Gambia 88. Gaza Strip - Gaza 89. Georgia Jiojia 90. Germany Ujerumani 91. Ghana Ghana 92. Gibraltar Jibralta 93. Glorioso Islands Visiwa vya Gllorioso 94. Greece Ugiriki 95. Greenland Grinilandi 9.6. Grenada Grenada 97. Guadeloupe Guadalupu 98. Guam Guamu 99. Guatemala Gwatemala 100. Guernsey Gwinsee
Posted on: Tue, 03 Dec 2013 11:59:01 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015